Timu kali Uzi mkaali utafikiri ulaya vilee!!
Azam FC 2-0 Rhino Rangers Magoli ya Azam FC leo yamefungwa na Gaudence Mwaikimba na Abdallah Seif Karihe
Azam FC kesho itashuka kwenye uwanja wake wa Chamazi kukwaana na Mgambo JKT, Fuatilia mechi hii popote ulipo kupitia TBC1, Wapigapicha na wazalishaji ni ya Azam TV....
sosi: azamfc fans page fb
Draw ya kabati au kitanda?Naombea hiyo mechi iishe kwa draw.