Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo naona Azam wanatisha....waacheni Simba na Yanga waendelee kubwatuka na ukubwa wa majina ninyi chukueni vikombe kisayansi. Wao wakienda Zanzibar na Bagamoyo, nyie Gym...hiyo ndiyo siri ya mafanikio. Hongera AzamNdetichia, AZAM FC inatisha kwa kuwa na kila aina ya miundo-mbinu- soka iliyo ya kisasa hata timu za France Ligue 1, La-Liga Spain, Fußball-Bundesliga Germany, SERIE - A Italy na English Premier league n.k watakuwa wanasema miundo-mbinu-soka ya AZAM FC ni tosha!.
AZAM TV inakuonesha Match of the Day Live video ya 28.10.2013 ambapo matokeo yalikuwa: Simba Fc 1 vs Azam Fc 2 na pia Kocha Ken Mwaisabula anafanya uchambuzi wa mfumo Voda Premier League Tanzania: Source: AZAM FC TV EPS 54 youtube