The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

1395277_647784655261894_1293911949_n.jpg
 
Ndetichia, AZAM FC inatisha kwa kuwa na kila aina ya miundo-mbinu- soka iliyo ya kisasa hata timu za France Ligue 1, La-Liga Spain, Fußball-Bundesliga Germany, SERIE - A Italy na English Premier league n.k watakuwa wanasema miundo-mbinu-soka ya AZAM FC ni tosha!.
 
Ndetichia, AZAM FC inatisha kwa kuwa na kila aina ya miundo-mbinu- soka iliyo ya kisasa hata timu za France Ligue 1, La-Liga Spain, Fußball-Bundesliga Germany, SERIE - A Italy na English Premier league n.k watakuwa wanasema miundo-mbinu-soka ya AZAM FC ni tosha!.
Hapo naona Azam wanatisha....waacheni Simba na Yanga waendelee kubwatuka na ukubwa wa majina ninyi chukueni vikombe kisayansi. Wao wakienda Zanzibar na Bagamoyo, nyie Gym...hiyo ndiyo siri ya mafanikio. Hongera Azam
 
Monday 28.10.2013 RESULTS: SIMBA SC 1 -AZAM FC 2 Dk 90+4 FULL TIME! Simba 1-2 Azam.

Dk 90 Bocco anapiga shuti kali kuelekea lango la Simba lakini mpira unatoka juu ya lango. Muda wowote mpira unaisha. Simba 1-2 Azam.

Dk 82 Mombeki anamchezea rafu Sure Boy.

Dk 80 Manula ananyanyuka baada ya kutibiwa na mpira unaendelea.

Dk 78 Kipa wa Azam, Aishi Manula anagongana na Sino Augustino wa Simba na anaumia. Mpira unasimama kwa muda ili atibiwe.


Dk 77 YELLOW CARD..! Sure Boy anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Singano wa Simba.




Dk 75 Morris anamchezea rafu Betram Mombeki.

Dk 74 SUB: Azam imefanya mabadiliko ametoka Humphrey Mieno ameingia Khamis Mcha.

Kipre Balou anafunga bao la pili kwa upande wa Azam - ni goli la uzembe wa kipa Abel Dhaira.

Dk 69 YELLOW CARD...! Hassan Khatib wa Simba anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchzea rafu Tchetche rafu.

Dk 68 Simba inapata kona lakini Azam wanaokoa.

Dk 67 YELLOW CARD...! Aggrey Morris wa Azam anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Edward Christopher wa Simba.

Dk 63 John Bocco wa Azam anakosa bao la wazi akishindwa kumalizia pasi nzuri ya Tchetche. Simba 1-1 Azam.

Dk 55 SUB: Simba inafanya mabadiliko wametoka Amri Kiemba na Zahor Pazi na nafasi zao zimechukuliwa na Sino Augustino na Edward Christopher.

Dk 48 SUB: Azam ilimtoa Said Moradi akaingia David Mwantika.

Dk 47 Azam wametawala kiungo na wanafanya mashambulizi mengi langoni kwa Simba.

Dk 45 KIPINDI CHA PILI KIMEANZA!

Mpira ni mapumziko Simba 1 - 1 Azam FC

Dk 43' Simba 1-1 Azam Kipre Tchetche anaisawazishia Azam FC na kwenda kushangilia na mashabiki wa Yanga.

DK 30 - Simba wanaendelea kuongoza kwa bao moja bila.

DK 21' Goooooo Simba 1- 0 Azam .Ramadhan Singano anaishangaza Azam
Dk 15 Simba 0-0 Azam


Dk 8' Zahoro Pazi anafunga goli lakini mwamuzi analikataa na anapewa kadi ya njano.

DK 1' Azam wanapata free kick inapigwa vibaya na John Bocco Simba 0-Azam

Kikosi cha Azam FC
Mwadini Ally
Erasto Nyoni
Waziri Salim
Said Moradi
Aggrey Morris
Kipre Bolou
Salum Abubakar
Humphrey Mieno
John Niccolo
KipreTchetche
Joseph Kimwaga Source: www.shaffihdauda.com
 
yaani hapa ni kichapo tu mwanzo mwenga.. Forza azam fc
 
AZAM TV inakuonesha Match of the Day Live video ya 28.10.2013 ambapo matokeo yalikuwa: Simba Fc 1 vs Azam Fc 2 na pia Kocha Ken Mwaisabula anafanya uchambuzi wa mfumo Voda Premier League Tanzania: Source: AZAM FC TV EPS 54 youtube
 
Last edited by a moderator:
AZAM TV inakuonesha Match of the Day Live video ya 28.10.2013 ambapo matokeo yalikuwa: Simba Fc 1 vs Azam Fc 2 na pia Kocha Ken Mwaisabula anafanya uchambuzi wa mfumo Voda Premier League Tanzania: Source: AZAM FC TV EPS 54 youtube


Kaanzishe uzi wa mechi ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom