The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

Hawa wataniya Tunisia wanatania kweli nimeifuata hiyo sioni kitu but kila la kheri wawakilishi wetu.
 
Azam walionekana tangu mwanzo kwamba uwezo wa kuzuia kasi ya mashambulizi na kuamua kukaa vile kuzuia ni hatari kwao.
Yaani wamecheza jinsi Esperance ewanavyotaka wao wacheze,ni ngum saana AZAM kutoboa
Azam kunatatizo,ila bado hawajaliona,maana sio mwanzo kushinda hapa na kupigwa kama watoto ugenini.Wao wakiingia uwanjani akili inakuwa kwenye kulinda tuuu
 
Duuuuh, jamani..... Though mi Si shabiki Wa azam but club ya tz ikicheza na wageni bas uzalendo unanivaa sana.

Ni kwamba mchezo ulikuwa wa upande mmoja. Azam walipotea mwanzo mwisho
 
Yaani tim yoyote ikipangiwa na waarabu tukishaaruhusu goli lolote nyumbani kwetu basi huwa ninaandka alama ya X ,fungu la kukosa
Kwa kifupi azam haijatengeneza nafasi yoyote ile ya kufunga
 
Kwa mara ya kwanza mwarabu kumnyobga mtu bila figisu mpira jamaa wamezidiwa
 
Sasa na CAF washa tujuaga, wana tuanzisha na tim ya madagascar alaf mech ya pili tuu, utaskia, mwede uarabun uko
 
MWARABU ANADHARAU AMESEMA YEYE HATAKI CHA AGREGATE ANAZITAMBUA GOLI ZA LEO TU 3 GOLI MOJA LA HUKU KAFUTA.
 
Back
Top Bottom