20 July 2019
Ila Azam TV huwa wanachelewesha sana kuweka clip ya timu yetu pendwa Azam Fc
Ktk YouTube
Video : Azam FC 5 - 4 AS Maniema Union
Highlights and all goals.
Source : azam TV
Mshambuliaji "Platini" Mpiana Mozinzi atua Azam Fc kupitia usajili wa dirisha dogo.
Timu ya Chamazi jijini Dar es Salaam imefanikiwa 22 December 2020 kumsajili mchezaji hatari Mpiana Mozinzi kutoka timu iliyopo Lubumbashi Congo DR ya FC Lupopo, imethibitishwa na uongozi wa timu ya Azam FC ya Tanzania.
Video Source : FC Saint Eloi Lupopo Officiel
Video hiyo juu inaonesha makali ya mchezaji huyo akiwa uwanjani na inategemewa ataendeleza makali ya ktk Ligi Kuu ya Tanzania na kuisaidia Azam FC kunyakua tena kombe la Ligi Kuu ya Tanzania.
Mchezaji huyo wa FC Lupopo , Mpiana Mozinzi amekuwa ktk radar za maskauti wa kusaka wachezaji bora Afrika ili aweze kushawishiwa kujiunga na timu mpya. Timu hizo kubwa zilizokuwa zinammezea mate ni pamoja na Orlando Pirates ya South Africa, Zamalek ya Egypt, Young Africans na Simba SC za Tanzania kabla ya Azam FC kufanikiwa kumdaka.
CHAN 2020 CHICO USHINDI WA TP MAZEMBE AFICHUKA KWA 'WASAJILI' (MA-SCOUT) WASAKA WACHEZAJI WAPYA NYOTA
Chico Kubanza Ushindi afunguka baada ya mchezo wa DR Congo na Congo Brazaville ktk michuano ya CHAN 2020 Cameroun kundi B jijini Douala, Cameroon.
CHAN 2020 CHICO USHINDI DU TP MAZEMBE SE REVELE ENCORE
Source : Nyota TV
FT Rhino Rangers 1-3 AZAM FC ....Tumefanikiwa kusonga mbele hatua ya nusu fainali...na tutacheza na simba sc baada ya wao kupata ushindi dhidi ya Dodoma jiji fc
Mfungaji wetu Prince Dube ameshindwa kueendelea na mchezo wa leo baada ya kupata maumivu dk ya 7....kuhusu hari yake tuendelee kusubiri taarifa rasmi ya club