The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

Nasikiliza radio halafu naangalia TV kuna delay kubwa kweli, tatizo hawa watu wa TV wanatangaza kwa kiarabu sijui kwa nini Clouds wameshindwa kumuweka hata Kibonde awe anatangaza kwa kiswahili.
 
Dk 25 as far 1 - 1 azam

Mkuu hebu waite hawa mashabiki wa Ndala pamoja na wale Mnyama waje huku tuishangilie Lambalamba FC, waambie hii sio ligi kuu hatuna cha kupoteza tukiwashangilia Azam sana sana tunaonyesha uzalendo.
 
Half time score 1-1 bao la Waarabu ni kwa penalti fuatilia game hapa

Mkuu half time tena? Au sisi tunaangalia recorded, lakini mbona wameandika live au neno live nalo limerekodiwa?
 
Jamaa anataka kumvuja Umony bega, safi sana refa kwa kumlamba red huyo jamaa.
 
Hapa sasa inabidi wachezaji wa Azam wacheze kwa utulivu hawa marefa hawachelewi kubalance.
 
kwakweli, bado ni nzuri, na vijana wetu(Azam FC) wametulia wakiendelea na spirit hii wanaweza wakavuka hiki kikwazo cha Rabat.
 
binafsi sikubaliani na hili goli la pili la Rabat, was clear offside
 
Back
Top Bottom