Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamejitahidi!na kama wakijibiisha next time huenda wakafika mbali!Full time Azam out, the end of the beginning.
Kiukweli binafsi sioni sehemu ya kumlaumu refa, amejitahidi kuwa fair, kama kuna makosa kafanya basi wataalamu zaidi ndo watagundua, mimi kwa maoni yangu naona kachezesha vizuri, kadi zote ni halali na hata penati alizotoa ni halali pia.Refa hawezi kulaumiwa katoa penati kote kote, FAR wamepata bao lao Azam wamekosa.
Pole sana mkuu.azam tumetoka kizembe japokuwa walikuwa wanabebwa..
Kiukweli binafsi sioni sehemu ya kumlaumu refa, amejitahidi kuwa fair, kama kuna makosa kafanya basi wataalamu zaidi ndo watagundua, mimi kwa maoni yangu naona kachezesha vizuri, kadi zote ni halali na hata penati alizotoa ni halali pia.
Azam pamoja na kufungwa mmejitahidi sana, hongereni, jipangeni kwa ajili ya mwakani.
Lakini si haba, hapo mlipofika kocha akikaa na wachezaji wakaongeza nidham na kujituma mwakani mnaweza kufika mbali, kwa ujumla timu yenu ni nzuri.azam tumetoka kizembe japokuwa walikuwa wanabebwa..
eti enheee tutafika mbali..
Kuanzia sasa tutasikia mengi mfano: Azam yafa kiume, Azam yawatoa jasho waarab lakini yatolewa, Azam ilifia Dar yacheza soka la kusisimua Morocco n.k.
[/TD]