The Official NBA Thread

Prediction yangu ni Miami Heat wanachukua ubingwa 2011.
 
Hawa Miami wana tabia ya ku get hot dakika za mwisho mwisho. Watu wanaweza kulia leo hapo Chicago
How did you know? Jamaa wanachezaga kama wana-reserve energy hivi then they turn tides around mwishoni!
 
Nimeamka leo saa tisa usiku kuangalia, ESPN wamebana...au game ilichelewa jamani? What a miss on my part.

Go go Miami, go go the Beach Boys, make my year!
 
Nimeamka leo saa tisa usiku kuangalia, ESPN wamebana...au game ilichelewa jamani? What a miss on my part.

Go go Miami, go go the Beach Boys, make my year!
Wewe tu na pombe zako......
 
Games za Eatern finals hazikuonyeshwa kwa wakazi wa Africa pitia ESPN...... Only zile za Western... Ila final games zote zitaonyeshwa na ABC, TNT na ESPN.... Mimi nilicheki online....
 
Mkuu ndio maana siweki hela yangu rehani msimu huu..bora hiyo ela niipeleke KFC na tubia twangu tuwili.lol

Hahaha Abdulhalim umenifurahisha unaibania for KFC sio lol! mie pia siweki pesa naona duh Lile Robot NFL player linatisha bwana. Ila ubishi wangu bado Still Dallas watashinda tu NBA imani hiyo ninayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…