The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Na hiyo free throw Rose kakosa kwa sababu ya nerves tu. Poleni wapenzi wa Chicago. Jaribuni tena mwakani.
 
Mhhh! The season is over for Da Bulls! What a crushing defeat!
 
Haya naona unajifagilia na Dallas nao ni hivyo hivyo maana katika michezo yao miwili ya mwisho walikuwa wanafungwa hadi dakika za mwisho walipofanya kweli.

Bubu wewe mpenzi wa Chicago nini? Manake naona kama una machungu...teh teh teh
 
Bubu wewe mpenzi wa Chicago nini? Manake naona kama una machungu...teh teh teh

hahahahah hapana! ila sikutegemea kabisa Bosh acheze vizuri kiasi alichocheza, na performance yake iliwapa advantage kubwa sana Miami. Akiweza kurudia performance kama hii katika michezo minne ya kwanza na Dallas basi Miami watakuwa na advantage kubwa sana. Nani mwenye Home court advantage kati ya Miami na Dallas?
 
hahahahah hapana! ila sikutegemea kabisa Bosh acheze vizuri kiasi alichocheza, na performance yake iliwapa advantage kubwa sana Miami. Akiweze kurudia performance kama hii katika michezo minne ya kwanza na Dallas basi Miami watakuwa na advantage kubwa sana. Nani mwenye Home court advantage kati ya Miami na Dallas?

Miami ndo wenye home court advantage.
 
Back
Top Bottom