Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Miami wana tabia ya ku get hot dakika za mwisho mwisho. Watu wanaweza kulia leo hapo Chicago
Ogah...next time nisikilize ninachokisema. Hii gemu mi naijua bana teh teh teh
Haya twambie na Miami Heat na Dallas nani anachukua taji 2011?
I said it!
Haya naona unajifagilia na Dallas nao ni hivyo hivyo maana katika michezo yao miwili ya mwisho walikuwa wanafungwa hadi dakika za mwisho walipofanya kweli.
Sidhani kama wana chao leo. Wajitahidi tu washinde game 6, wakizembea na kurudi Chicago kwa ajili ya game 7 basi hakuna wa kumlaumu ila the BIG 3 (kama hawatakuwemo kwenye 2011 NBA finals)
Dah Miami kitu kimetinga hiki tayari, wajipange game ijayo
Bubu wewe mpenzi wa Chicago nini? Manake naona kama una machungu...teh teh teh
hahahahah hapana! ila sikutegemea kabisa Bosh acheze vizuri kiasi alichocheza, na performance yake iliwapa advantage kubwa sana Miami. Akiweze kurudia performance kama hii katika michezo minne ya kwanza na Dallas basi Miami watakuwa na advantage kubwa sana. Nani mwenye Home court advantage kati ya Miami na Dallas?
Consider Miami Heat the new NBA Champions
Haya twambie na Miami Heat na Dallas nani anachukua taji 2011?
Dallas Mavericks. Mark this post.
Ngosha.......mbona huna msimamo aisee.......where do you stand for real...........tehe tehe tehe