Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Haiya 12pts game, Wenger upo?
Dallas wanatania sana.
Bado kuna muda mrefu sana AW, usishangae kibao kikigeuka hasa ukitilia maanani Dallas wako nyumbani. Miami inabidi wajitahidi kuongeza hii gap hata kufikia 20 kama wataweza ili kujiweka katika nafasi nzuri.
Turnover ya kijinga tena dallas.
Wamesawazisha jamaa
Mkuu umeshangazwa na haya matokeo? mi sishangazwi maana timu zote zina weakness na kila moja inaweza kutumia udhaifu wa mwingine.Dallas wajinga sana.anyway game ilikuwa kali sana.
Mkuu umeshangazwa na haya matokeo? mi sishangazwi maana timu zote zina weakness na kila moja inaweza kutumia udhaifu wa mwingine.