Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurudi wanarudi mkuu.ha ha ha ha harudi mtu miami.
Kurudi wanarudi mkuu.
It is very difficult, but it can be done if they play as a team. It is very crucial for Miami to steal game 3 in Dallas.
Mkuu hamna timu yenye hati miliki ya ushindi. Hata Miami wanaweza kumaliza mambo hukohuko Dallas 😛ound:No way mkuu, wameniaribia tu utabiri wangu juzi kwa kucheza chini ya kiwango.
Humu kutatulia tu Game 3 au 4 naona wengi mnarukia MIAMI subirini Dallas ile D yao ikubali alafu waunge na zile 3 zao alafu ndio Kitambaa cheupe kitavyonea kwenye Court kwa Time Out mie bado nawaamini Dallas. hii kitu lazima irudi WEST. na Lebron ajue asipobeba hii yule NFL player basi atasubiri sana mwakani au next 2 yrs. Hapa ni Game 3 au 4 ndio tutajuwa muelekeo.
Mwache Abdulhalim ajipe Moyo tu ataelewa kama Ngoma ya Miami imekwama atapoona Ngombe zinalia Moooooooooooooooo!!! hahahaahha. kitu inaenda West ile Ring Lebron akaazime tu Ring kwa Phil Jackson.:A S 103:No way mkuu, wameniaribia tu utabiri wangu juzi kwa kucheza chini ya kiwango.
Dallas sio wa kuaminika kiasi hicho. OKC waliiba game pale kwao, na walikuwa na uwezo wa kuchukua at least other two games from Dallas kama wangekaza matak0. Anyways Miami walikuwa na off-day except some few splashes of brilliance kutoka kwa Wade na kidogo Le Bron.Hata game ya 2 Dallas wamechukua baada ya turn-overs za kijinga na kocha kushindwa kutoa mawaidha ya maana kwene dk 4 za mwisho. Dallas won't get that easy ride again. Hata hivo nlishasema Miami wakiendelea na maturn-over yao at some point wapo watu watawapunish na game 2 wameprove maneno yangu. Series bado ipo kwa Miami maana kwa big three HOME COURT OR NOT IS NOTHING.Mwache Abdulhalim ajipe Moyo tu ataelewa kama Ngoma ya Miami imekwama atapoona Ngombe zinalia Moooooooooooooooo!!! hahahaahha. kitu inaenda West ile Ring Lebron akaazime tu Ring kwa Phil Jackson.:A S 103:
Daah mi leo nakaa mbali na utabiri.
Miller and Bosh are weak links
Daah mi leo nakaa mbali na utabiri.