The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

a09bdeed518bc2bc5d2664cdbfa9917b-getty-114832825cc154_dallas_maver.jpg



252599c5c155af5107ba889aa913d168-getty-114832825cc155_dallas_maver.jpg



3f4e995c8bf0d618bb4acca929a475bf-getty-114832825cc152_dallas_maver.jpg

 
It is very difficult, but it can be done if they play as a team. It is very crucial for Miami to steal game 3 in Dallas.

I agree, game 3 ni very crucial ukizingatia sijui hii defeat ya leo itaacha effects gani kwa Miami team...stealing game 3 will give them an egde over Mavs.
Inaumaaaa!
 
Humu kutatulia tu Game 3 au 4 naona wengi mnarukia MIAMI subirini Dallas ile D yao ikubali alafu waunge na zile 3 zao alafu ndio Kitambaa cheupe kitavyonea kwenye Court kwa Time Out mie bado nawaamini Dallas. hii kitu lazima irudi WEST. na Lebron ajue asipobeba hii yule NFL player basi atasubiri sana mwakani au next 2 yrs. Hapa ni Game 3 au 4 ndio tutajuwa muelekeo.

Tehtehteh naona maneno yanajirudia Dallas kama navyosema ila tuone tu game 3 na 4 yale mambo ya 3 yanasaidia wanawane ila kujuwa na kubana tu kweli Ukubwa ni Dawa na uzoefu Miami mwisho wameachia kama Arsenal.
 
No way mkuu, wameniaribia tu utabiri wangu juzi kwa kucheza chini ya kiwango.
Mwache Abdulhalim ajipe Moyo tu ataelewa kama Ngoma ya Miami imekwama atapoona Ngombe zinalia Moooooooooooooooo!!! hahahaahha. kitu inaenda West ile Ring Lebron akaazime tu Ring kwa Phil Jackson.:A S 103:
 
Mwache Abdulhalim ajipe Moyo tu ataelewa kama Ngoma ya Miami imekwama atapoona Ngombe zinalia Moooooooooooooooo!!! hahahaahha. kitu inaenda West ile Ring Lebron akaazime tu Ring kwa Phil Jackson.:A S 103:
Dallas sio wa kuaminika kiasi hicho. OKC waliiba game pale kwao, na walikuwa na uwezo wa kuchukua at least other two games from Dallas kama wangekaza matak0. Anyways Miami walikuwa na off-day except some few splashes of brilliance kutoka kwa Wade na kidogo Le Bron.Hata game ya 2 Dallas wamechukua baada ya turn-overs za kijinga na kocha kushindwa kutoa mawaidha ya maana kwene dk 4 za mwisho. Dallas won't get that easy ride again. Hata hivo nlishasema Miami wakiendelea na maturn-over yao at some point wapo watu watawapunish na game 2 wameprove maneno yangu. Series bado ipo kwa Miami maana kwa big three HOME COURT OR NOT IS NOTHING.
 
Haya waungwana game 3 ndio hiyo inakaribia, mnadhani heat wataamka na kuiba gemu moja ugenini?
 
yaaani mndundu mie mwenyewe naisubiria kwa hamu kweli hii game 3
 
Naona game ime balance leo,dallas wanawapa uhuru miami wa ku-enjoy court utasema wako kwao.
 
Daah mi leo nakaa mbali na utabiri.

Hahahahaha lol! Vipi tena!? Mie bado niko na Miami lakini huyu CB ananikwaza bora tu awekwe benchi ili asije akarudia performance kama ya juzi ya 4-16. Ili Miami washinde THE BIG THREE wanahitaji kuwa na points 80 (at least) kwa ujumla vinginevyo itakula kwao.
 
Back
Top Bottom