The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Hawa Dallas wako kama Arsenal (pun intended) lol.

Hahahahah! lol! umenikumbusha ile game tuliokuwa tunaongoza 4 bila kisha tukatoa draw na kama kungekuwa na dkk 5 nyingine basi wangetuchapa 2 nyingine. Dallas wameshaondoka hawa sidhani kama watashinda huu mchezo wa leo, lakini michezo mitatu inayofuata watakuwa Dallas kama watatangangamara na kushinda yote basi watakuwa wamejiweka katika nafasi nzuri sana.
 
Kweli Dallas kama Arsenola but wakomae leo waende Dallas 1-1
 
Its over.

Nisubiri dallas jumapili itakuwaje kama wakichemsha tena basi sweep limenigeukia lol.
 
Ask that q on Sunday lol.

Hii series kushi nehi! Dallas hawawezi kuja kushinda gemu yoyote ile Miami. Na Miami hawawezi kushindwa gemu zote 3 huko Dallas.

Siamini kama Miami ni wazuri hivyo na siamini kama Dallas ni wabaya hivi. Wakati mwingine huwa nawaza labda yale maneno ya kwamba hii michezo matokeo yake hupangwa huenda ni ya kweli. Sina ushahidi ni speculations tu.
 
seems like Mavs are coming back...........
 
Kushi nehi hii wewe. Kama unabisha subiri dakika 2 za mwisho uone Wade na Bron Bron watakavyocharuka.

wee subiri Mjeru aanze kuzipiga zile tatu tatu and a buzzer.........haya sasa unaona....its two point game
 
Back
Top Bottom