The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

1.26 to go...Miami down by 5! Hapa ndipo wachezaji greats wanaweka engravement yao kwenye historia!
 
lol, kitu kimetinga hiki. Miami wanachachawa when it matters. Weaknes ileile series nzima.
 
1.26 to go...Miami down by 5! Hapa ndipo wachezaji greats wanaweka engravement yao kwenye historia!

Queen James is not one of them! He never shows up in the deciding 4th quarter of the game throughout this series!
 
Miami wana timu nzuri kuliko Dallas lakini sitashangaa wakishindwa hii final kwa sababu mentally wako weak ukilinganisha na Dallas.
 
Leo asubuhi nilikuwa naangalia ile game kwa ujumla miami hawakuwa kwenye form kabisa hasa wade
 
Tehteh hahaha watu nawaona kwa mbali Mnarudi Dallas lol! Lebron safarihii ajaribu kuwa mwizi wa Ring tu Nyumba ya Black Mamba au Phil Jackson amuonee huruma ampe kama kizawadi... ila jamani kule Heat kweli Dallas watamaliza? Dallas wakiwamaliza kama Lakers Fan nitafurahi sana.

DALLAS wangepata na NASH, MJERUMANI NA KIDD wana haki yakuwa na Ring... unajuwa kuna Player Great hawakuwa na Ring ila wanaheshimika kuwaona wanapata Ring ni vizuri Lebron ana muda ila tatizo analazimishia aende NFL tu.
 
Mzee, this series is too far from over. King James will come up big on Sunday! My advice, Get your popcorn ready.
 
Naona ndugu yetu Hashim hawajamsahau kwenye video ya wasugua benchi, usher ndio kaua kabisa...

Last edited by a moderator:
Game Ya Leo wakuu Mtanisamehe sitoweza kuitizama Cough! Cough! mungu akijalia nitakuja kuweka ka Comment changu.
 
It is a do or die game for LJ and Miami Heat. LJ needs a very good performance as compared to his lacklustre performance in the last 5 games of the NBA's 2011 Finals. The criticism that he received last year after Cleveland were eliminated by Orlando that he is a Queen and not a King will follow him for the second year in a row. Enjoy the game.
 
Back
Top Bottom