lol, kitu kimetinga hiki. Miami wanachachawa when it matters. Weaknes ileile series nzima.
1.26 to go...Miami down by 5! Hapa ndipo wachezaji greats wanaweka engravement yao kwenye historia!
Tehteh hahaha watu nawaona kwa mbali Mnarudi Dallas lol! Lebron safarihii ajaribu kuwa mwizi wa Ring tu Nyumba ya Black Mamba au Phil Jackson amuonee huruma ampe kama kizawadi... ila jamani kule Heat kweli Dallas watamaliza? Dallas wakiwamaliza kama Lakers Fan nitafurahi sana.
DALLAS wangepata na NASH, MJERUMANI NA KIDD wana haki yakuwa na Ring... unajuwa kuna Player Great hawakuwa na Ring ila wanaheshimika kuwaona wanapata Ring ni vizuri Lebron ana muda ila tatizo analazimishia aende NFL tu.
Naona ndugu yetu Hashim hawajamsahau kwenye video ya wasugua benchi, usher ndio kaua kabisa...
Mkuu moyo unataka kutokea mdomoni?? 😛ound:Game Ya Leo wakuu Mtanisamehe sitoweza kuitizama Cough! Cough! mungu akijalia nitakuja kuweka ka Comment changu.
Wakuu,
tifu tayari!