Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Tupo wakuu kushuhudia Nowitzki akichukua ring.
Le Bron anajitahidi, akienda na moto huu hadi 4th quarter basi tutakuwa na game 7.
Tupo wakuu kushuhudia Nowitzki akichukua ring.
True dat!....I just want there to be a game 7 in this thing.
Umeeka hela awamu hii mkuu?
Hahaha!!!....wewe nakuona leo una-kijidomo kweli...lol!...:lock1::lock1::lock1:
Le Bron hayupo sawa mentally, na hii itaikost Miami. Halafu benchi lao nimeanza kuwa na wasiwasi nalo. Benchi la Dallas linatisha kaa njaa na mara nyingi ndio huwaga linaamua games kwene hii series.Miami wameamua ku-snooze naona back to back turn overs lol.
Duh!!!...Mchuzi umeingia mjusi.
Dallas wamekuja kali despite Nowitzki being on the bench. Miami need to take advantage.
Ngoma imerudi 2 points. duh Dallas wakianza mambo ya vidole juu gemu itaisha mapema sana
Miami are back!!!...Phewww!!!...:lock1: