arifu unaangalia espn toka bara gani?
ni kweli lakini sio kirahisi namna hiyo.....SAS kwa sasa MANU ndio ngome yao.....msumbufu tony hii series haijamuendea vizuri......
Game 5 ilikuwa nzuri Oklahoma City walicheza vizuri sana hasa Kevin Durant kafunga point nyingi.
le bron is the best player so far. pick another clown.aisee nimemchukia kweli kenge lebron
kaka boston wana d-ya ukweli. inatakiwa Miami wawe wabunifu zaidi kwene offence.total disaster indeed,
Sijui kwanini wanaogopa kuattack ile ring;
kaka boston wana d-ya ukweli. inatakiwa Miami wawe wabunifu zaidi kwene offence.