Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mimi OKC damu damu hawa jamaa nawakubali sana....east celtics wananiangusha...japo wish yangu nataka nione finals ya miami na OKC maana najua miami lazima wakae......sitaki lebron achukue ndoo......na wasiwasi kama wakiingia SAS na miami...lebron na wade watawafunika vibaya mno wakiba duncan,tony na manuYo Yo naona wewe na OKC damudamu! Mimi bado sioni OKC atakavyopita mbele ya SAS. Home court advantage itakuwa bado kwa SAS hata kama series itaenda game 7. Jana Gino na Tony hawakuwa fit kama kawaida yao.
Bado naweka hela yangu kwa SAS.
![]()
man himself....aka madevu....
Koz boy got no real talent!!ni mrefu,basi lakini game halipo pale.nafikiri njaa ilimpa mzuka akiwa Uccon,sasa angeendelea kuitumia ile impe maheshima huku wka wakubwa pia!mijitu mingine bana.....uvivu tu!![]()
labda ipo siku tutamuona mtz akienda layup namna hii.....hivi hasheem anashindwa nini kuwa kama tim duncan??
Shane Battier, the former dream-teamer anasaidia kukava gepu.
Naona OKC hapa wasipodili na Manu wanaeza wakaula wa chuya hapa.
sijui lini hasheem atacheza playoffs na finals???
OKC watashinda.....kama wakiendelea na makamuzi kama ya jana basi SAS lazima wakalia.....kumbuka game zote mbili SAS walikuwa nyumbani, game ya tatu angalia OKC walivyoshinda kwa margin kubwa...i still do hope OKC watashinda series na kuwa crowned WC champions.
Ila Maoni yangu tunarudi kulekule San Antonio Je watakuwa na uwezo wa kumfunga Miami sababu Boston kumtoa Miami ni mtihani si mdogo, OKC itafungwa na San Antonio ila OKC ndio ingekuwa timu pekee kumfunga Miami sababu Game zipo tofauti inategemea na Play za timu hapohapo NBA ni game ya ajabu mara ngoma zinaenda Game 7 na wasiwasi kuna moja itaenda Game 7 West au East.
mambo mazuri kwa boston......2-1 now