Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shane Battier, the former dream-teamer anasaidia kukava gepu.Miami heat wako aggressive ile competion ya nani father kwenye team kati wade na lebron naona inawasaidia sana inawafanya wade na james wajitume sana, naona pengo la bosh limepungua.
spurs wameamkia upande mzuri wapo efficient and loyal to what they do, sioni wakishindwa kuchukua ndoo kama wakiendelea na mambo ya vidole juu na d-ya ukweli. sasa nawakubali. wanastahili kama ulivosema.OKC who is ur Popo? OKC wanajibu its San Antonio, NBA miracle zina happen game bado.
OKC daima kuna kitu kinamiss, last season ivoivo..salama ya OKC hapa ni kutegema Spurs wachemshe lakini otherwise dogo Westbrook bado sana. Durant ambaye ni best shooter hapewi mipira, na Ibaka + Perkins wamekuwa very average and predictable na wameshindwa kabisa kumdhibiti Parker na Manu. Nakubali kuzuia 3 sio rahisi, lakini penetration nyingi zingeweza kuzuilika pengine hapo Spurs ndio walipovipata vikapu vya kushinda game.Sio siri nimejuwa Game hii San antonio wanashinda ila nimemuonea huruma Madevu amejitahidi sana, Parker ana Penya kama Panya akiona wageni ukumbini anakatiza tu.
OKC daima kuna kitu kinamiss, last season ivoivo..salama ya OKC hapa ni kutegema Spurs wachemshe lakini otherwise dogo Westbrook bado sana. Durant ambaye ni best shooter hapewi mipira, na Ibaka + Perkins wamekuwa very average and predictable na wameshindwa kabisa kumdhibiti Parker na Manu. Nakubali kuzuia 3 sio rahisi, lakini penetration nyingi zingeweza kuzuilika pengine hapo Spurs ndio walipovipata vikapu vya kushinda game.
Ila Maoni yangu tunarudi kulekule San Antonio Je watakuwa na uwezo wa kumfunga Miami sababu Boston kumtoa Miami ni mtihani si mdogo, OKC itafungwa na San Antonio ila OKC ndio ingekuwa timu pekee kumfunga Miami sababu Game zipo tofauti inategemea na Play za timu hapohapo NBA ni game ya ajabu mara ngoma zinaenda Game 7 na wasiwasi kuna moja itaenda Game 7 West au East.
Pazi, fainali kati ya SAS na Heat itakuwa kali sana. Na siyo rahisi kihivyo kama unavyoizungumzia.Ila Maoni yangu tunarudi kulekule San Antonio Je watakuwa na uwezo wa kumfunga Miami sababu Boston kumtoa Miami ni mtihani si mdogo, OKC itafungwa na San Antonio ila OKC ndio ingekuwa timu pekee kumfunga Miami sababu Game zipo tofauti inategemea na Play za timu hapohapo NBA ni game ya ajabu mara ngoma zinaenda Game 7 na wasiwasi kuna moja itaenda Game 7 West au East.