The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Kijana wetu Thabeet....Anaendeleaje na Kikapu....Namuona Bongo....
 
Miami heat wako aggressive ile competion ya nani father kwenye team kati wade na lebron naona inawasaidia sana inawafanya wade na james wajitume sana, naona pengo la bosh limepungua.
 
Shane Battier, the former dream-teamer anasaidia kukava gepu.
Naona OKC hapa wasipodili na Manu wanaeza wakaula wa chuya hapa.
 
Spurs wanajitahidi D ya ukweli, OKC wanastruggle mi turnover tu left and right
 
OKC who is ur Popo? OKC wanajibu its San Antonio, NBA miracle zina happen game bado.
 
spurs wameamkia upande mzuri wapo efficient and loyal to what they do, sioni wakishindwa kuchukua ndoo kama wakiendelea na mambo ya vidole juu na d-ya ukweli. sasa nawakubali. wanastahili kama ulivosema.
 
Sio siri nimejuwa Game hii San antonio wanashinda ila nimemuonea huruma Madevu amejitahidi sana, Parker ana Penya kama Panya akiona wageni ukumbini anakatiza tu.
 
OKC daima kuna kitu kinamiss, last season ivoivo..salama ya OKC hapa ni kutegema Spurs wachemshe lakini otherwise dogo Westbrook bado sana. Durant ambaye ni best shooter hapewi mipira, na Ibaka + Perkins wamekuwa very average and predictable na wameshindwa kabisa kumdhibiti Parker na Manu. Nakubali kuzuia 3 sio rahisi, lakini penetration nyingi zingeweza kuzuilika pengine hapo Spurs ndio walipovipata vikapu vya kushinda game.
 
OKC wameniangusha aisee.....parker ni mbaya wa kuopenya penya....na leo kawafanya vibaya sana.....
 
Nimeshasema SAS wako vizuri kwa sasa. Na wao ndiyo kikwazo cha OKC kuingia final. SAS wamekuwa form sana toka break ya Allstars imeisha. Sioni namna OKC watatoka kwa SAS.
 
Ila Maoni yangu tunarudi kulekule San Antonio Je watakuwa na uwezo wa kumfunga Miami sababu Boston kumtoa Miami ni mtihani si mdogo, OKC itafungwa na San Antonio ila OKC ndio ingekuwa timu pekee kumfunga Miami sababu Game zipo tofauti inategemea na Play za timu hapohapo NBA ni game ya ajabu mara ngoma zinaenda Game 7 na wasiwasi kuna moja itaenda Game 7 West au East.
 
OKC daima kuna kitu kinamiss, last season ivoivo..salama ya OKC hapa ni kutegema Spurs wachemshe lakini otherwise dogo Westbrook bado sana. Durant ambaye ni best shooter hapewi mipira, na Ibaka + Perkins wamekuwa very average and predictable na wameshindwa kabisa kumdhibiti Parker na Manu. Nakubali kuzuia 3 sio rahisi, lakini penetration nyingi zingeweza kuzuilika pengine hapo Spurs ndio walipovipata vikapu vya kushinda game.

Ibaka na Perkins kama watapiga Game inavyotakiwa Parker na Manu wasifurukute OKC Game yao la sivyo Tim Duncan anaonyesha nani Best in the Game katika maeneo yake.
 
Ila Maoni yangu tunarudi kulekule San Antonio Je watakuwa na uwezo wa kumfunga Miami sababu Boston kumtoa Miami ni mtihani si mdogo, OKC itafungwa na San Antonio ila OKC ndio ingekuwa timu pekee kumfunga Miami sababu Game zipo tofauti inategemea na Play za timu hapohapo NBA ni game ya ajabu mara ngoma zinaenda Game 7 na wasiwasi kuna moja itaenda Game 7 West au East.

I think whoever wins between OKC and SA wins the league this year. What both teams have an edge on Miami is bench play. Take game 1 between OKC ans SA for example both Parker and Duncan did not play particularly well (at least not up to their usual standards) but the bench stepped up and delivered as evidenced by 49 pts total by starters and 52 pts total by the bench. The same can be said for OKC having players like Harden (midevu) and Fisher on the bench. Miami on the other hand is not as deep, Take the Big Three away and they have no one they can turn to for production offensively. Haslem is always good for 10 boards but his shooting (mid-range jumper) has not been as consistent as you would want it to be. Miller has arguably suffered the worst when it comes to consistency. Assuming Bosh comes back healthy then Miami can maybe take OKC, but against SA I cant see it.
 
Ila Maoni yangu tunarudi kulekule San Antonio Je watakuwa na uwezo wa kumfunga Miami sababu Boston kumtoa Miami ni mtihani si mdogo, OKC itafungwa na San Antonio ila OKC ndio ingekuwa timu pekee kumfunga Miami sababu Game zipo tofauti inategemea na Play za timu hapohapo NBA ni game ya ajabu mara ngoma zinaenda Game 7 na wasiwasi kuna moja itaenda Game 7 West au East.
Pazi, fainali kati ya SAS na Heat itakuwa kali sana. Na siyo rahisi kihivyo kama unavyoizungumzia.
Hata unavyosema OKC ndiyo timu pekee ya kuifunga Heat, sidhani kama navyo ni sahihi; kama ulivyosema hapo mwisho kwamba NBA ni game ya ajabu...
 
Mcheza kwao hutuzwa...kama OKC wasingefanya makosa katika 4th quarter ya game 1 basi wangekuwa wanaongoza hii series 2-1 badala ya kuwa nyuma 2-1. Hopefully they'd be able to take advantage of home court and win game 4 on Saturday to tie the series 2-2
 
613x459.jpg

man himself....aka madevu....
 
Back
Top Bottom