Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game one ya OKC na Spurs sikueza kuona maana najua OKC anachukua hii series, I root wata-steal game II na kuwapiga 4-1. Hilo halina mjadala. Kaka, kwa ushabiki Lakers wamekwisha habari yao sasa tuende wapi? inabidi tuchague timu ya kujishikiza..ha ha.. Miami itakua ngumu kuchukua ndoo msimu huu kwa sababu Bosh bado majeruhi. Ofkoz El Heat bado ni favorites kwa East maana sijaona Celtics kama wanaweza kuzuia kishindo cha Wade+Le Bron. Ngoja tuone kesho itakueje.Abdulhalim yeye hapa anakuja Game za Miami Heat tu na Flana yake nyeupe na msuli tehteh anakuja na Kahawa yake kumtizama Wade na zile Shot zake za And 1 yule Wade(Mnigeria) Mkali wa And 1 jamaa kwa maoni yangu ndio mtu pekee amekaribia Game ya Kobe Bryant kama wanavyosema Kobe kukaribia kidogo Game ya Jordan.
MANU kawauwa okc.......game 2 wata come back na ku tie
turn over zimeanza mapema Celtics..
Thabit kuwa KG?don't get ahead of yourself mwana, tuwe na matumaini ambayo ni realistic!Nyingi sana Celtic, Miami ukiwaogopa utajikuta unapiga manjiwa na block unachapwa za kijinga, I hope hili game Thabeet anatizama na muda huu hali bata anayetakiwa kumtizama ni KG yupo kwenye Game 17yrs bado anafanya maajabu ila Thabeet akipewa ma dk anaweza NBA kuwa skill BIG kama KG au Gasol umbo lake linaruhusu.
Mie hapa nawakimbia naona nagombana na usingizi nasubiri Alfajir UK.