The Official NBA Thread

Yo Yooooooooo!!
my boi james harden unajua alikuwa drafted mwaka mmoja na hasheem thabeet.....kama pick namba 3....wakati hasheem alionekana mkali akawa pick namba 2.....

whats wrong na hasheem mazee???? ukiangalia wenzake waliokuwa drafted wako mbaaaaaaaaaali saana..ni wakali balaa....hebu muangalie blake griffin mcheki ricky rubio....mwangalia jordan hill,deMar DeRozan,brandon jennings wanavyo shine.....huyu mbongo hasheem ana matatizo gani wakuu??
 
Mie nilisema San Antonio for the Final nakubali nimechemsha ila kama nilivyosema yoyote wa West ndio nitapenda ashinde sio east So OKC for the ring.

1. OKC nitimu iliyovunjiwa Sonic na kuundwa vijana tena vijana wenye kusikiliza na nizamu na hawana nyodo za kujionyesha.

2. Durant akifikiria yule aliyemfundisha utotoni then akauliwa ndio sababu ya Durant kuvaa 35 basi atafanya kwajili ya timu na ya jamaa huyo ndomana ukimtizama Durant usoni unaona jamaa ana heshima ya game na nje na anaisoma game na kuheshimu wale anaocheza nao.

3. Westbrook kajifunza mengi mwaka jana kwamba ujeuri wake sio manufaa kwa timu.

4. Bench la OKC washajuwa ni muda wa kuamka kuwa na mtu kama "Derek Fisher" kunasaidia sana.

5. Perkins D iwe yanguvu asifanye foul sana, na Ibaka A.k.A Air Congo A.k.A im doin this for Africa A.k.A I'm here to play African people A.k.A Blocker Blocker.

6. Madevuuuuuuuuuuuu Thunder 13 is a lucky number Suna za ndevu akija speed lazima upishe ndevu zile mzee wa vidole alafu kuna Sefolosha wazee wa Vidole.

tunawaoembea hawa vijana wabebe kusema kweli ili Forum ifurahi kwa pamoja.

MADEVU ni Noma.
 
Boston Celtic wasahau si OKC ukasema watarudi, Miami heat washamrudisha mtu south beach na kumaliza, Celtic wanachemsha hapa Miami wamebana 3 za Celtic anafurukuta Rondo na Rondo akibanwa wasahau Celtic Final.
 
Kaka subiri Q4 ndio utukane mto , sorry mamba.
 
Nimefikiria hivyo pia baadae Q4 ila mpaka sasa sioni Celtic kurudi ingekuwa wanapisha kwa 6 ningesema Q4 3 naona Celtic zimegoma na hamu zikubali ila sioni.
 
50point 2 Lebron leo zitafika naona kama Gundu leo Celtic lipo Mjini kwao. Sizani kama Miami Heat leo watakwenda Goin Fishin kuvua kambale.
 
50point 2 Lebron leo zitafika naona kama Gundu leo Celtic lipo Mjini kwao. Sizani kama Miami Heat leo watakwenda Goin Fishin kuvua kambale.

He is in the zone tonight...everything he touches turns to gold...

Last edited by a moderator:
50point 2 Lebron leo zitafika naona kama Gundu leo Celtic lipo Mjini kwao. Sizani kama Miami Heat leo watakwenda Goin Fishin kuvua kambale.
13 points sio nyingi kihivyo.
 
What a performance by the Heat!...

Last edited by a moderator:
hahahaaaa, mtaani kimenuka mkuu

I am laughing like a lunatic

yuhuuuu

Abdulhalim ss kakubali kwamba kimenuka tehtehteh, mie hawanishughulishi West yoyote atayetia mguu na OKC ni kichapo OKC wanatisha kama Ukoma.
 
Game 7 lakini jamani hakuna cha Home itakuwa Bonge la game Tizama pearce na KG na Allen sura zao ndio utajuwa Game 7 wanaenda south beach sio kucheza na Miami nao wanayule mwenye timu Mafia hataki mchezo na wasiwasi ndio atakuwa Fundi wao mwakani au Phil Jackson.
 
Mashabiki wa Celtic kama wa timu za mpira za UK hatauwachape ngapi watashangilia.
 
Abdulhalim ss kakubali kwamba kimenuka tehtehteh, mie hawanishughulishi West yoyote atayetia mguu na OKC ni kichapo OKC wanatisha kama Ukoma.
Haya bana, basi mie naanza ku-root kwa Miami kuanzia dk hii kuchukua ring.
 
I think game seven itakua Armageddon ... it is not possible kwa celtic kuachia kirahisi vile!!! its like they were already raring to go to game seven with all teh rage and anger

cant wait really

OKC Miami itakua ngumu zaidi kwa OKC coz they are still young and programmed so its tough to play individual game ya miami but with cetlic it would b easier

cant wait for MIAMI vs. OKC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…