Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
- Thread starter
- #781
my boi james harden unajua alikuwa drafted mwaka mmoja na hasheem thabeet.....kama pick namba 3....wakati hasheem alionekana mkali akawa pick namba 2.....Yo Yooooooooo!!
whats wrong na hasheem mazee???? ukiangalia wenzake waliokuwa drafted wako mbaaaaaaaaaali saana..ni wakali balaa....hebu muangalie blake griffin mcheki ricky rubio....mwangalia jordan hill,deMar DeRozan,brandon jennings wanavyo shine.....huyu mbongo hasheem ana matatizo gani wakuu??