The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Bonge la slow start OKC. I hope game lao litarudi mapema, manake gap kubwa mbele ya Lebron sometimes noma.
 
Bonge la slow start OKC. I hope game lao litarudi mapema, manake gap kubwa mbele ya Lebron sometimes noma.

OKC mara karibu zote wako hivyo na hiyo ni mbaya sana kwa sababu huwezi mara zote kutegemea ku-come back. It just doesn't always work....
 
OKC wakilala leo ndo inaweza ikawa mwisho wao kwa sababu format ya finals ni 2-3-2....which means game tatu mfululizo zitachezewa Miami.

Na kama cheza yenyewe ndo hii basi wasitegemee kushinda game hata moja huko South Beach.
 
Mazee ni kipigo in the 1st quarter... 'felonious assault and battery' - Van Gundy
 
Back
Top Bottom