The Official NBA Thread

They need to steal 1 game in Miami
 
Nilikuwa nawapa nafasi OKC lakini jinsi nilivyoona game 2 na ukiangalia hali za wachezaji Miami Heat wanaweza kuchukua taji, Durant na wenzake wanaoneka kukataa tamaa mapema, LeBron hiki ndio kipidi chake kuonekana bora NBA tumeona leo kafunga point 32...mbaya zaidi game ya mwisho wanamalizia Miami.
 

Hapo kwenye rangi si kweli Mkuu ritz. Sasa hivi series inahamia Miami kwa michezo mitatu kuanzia J'pili. Kama OKC wataweza kushinda mchezo mmoja Miami basi itabidi warudi Oklahoma kwa game 6 (na 7 kama itahitajika) ila kama Miami watashinda michezo yote mitatu wakiwa kwao basi wataibuka kidedea kwa kuwatoa OKC 4-1

 

Mkuu BAK,
Nimekupata nashukuru kwa ufafanuzi wako! Lakini najua wewe ni shabika la kutupwa la Miami.
 
Mkuu BAK,
Nimekupata nashukuru kwa ufafanuzi wako! Lakini najua wewe ni shabika la kutupwa la Miami.

Hahahahaha LOL! Mie sina pressure yeyote atakayeshinda mie poa kabisa ila wale Spurs ndio sikutaka kabisa washinde 🙂 ila katika hizi NBA finals naegemea kidogo kwa OKC 🙂
 
OKC wamewapa pressure ya kutosha Miami japo wamefungwa kwa point 4 tu...wanaweza kuwabania kwenye game tatu zilizobaki Miami na kuwafunga japo moja ili kuwamalizia waakirudi Oklahoma.
 


[h=2]Miami Heat forward LeBron James (C) shoots over Oklahoma City Thunder guard Thabo Sefolosha (L) and forward Serge Ibaka in the fourth quarter during Game 2 of the NBA basketball finals in Oklahoma City, Oklahoma, June 14, 2012. [/h]



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…