Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
still nawapa nafasi okc......
Game ya mwisho as of schedule ni OKC,wanacheza 3 Miami,and then the last 2 in OKC if necessary.Unless ulimaanisha kuwa Miami watachukua ubingwa nyumbani.Nilikuwa nawapa nafasi OKC lakini jinsi nilivyoona game 2 na ukiangalia hali za wachezaji Miami Heat wanaweza kuchukua taji, Durant na wenzake wanaoneka kukataa tamaa mapema, LeBron hiki ndio kipidi chake kuonekana bora NBA tumeona leo kafunga point 32...mbaya zaidi game ya mwisho wanamalizia Miami.
Game ya mwisho as of schedule ni OKC,wanacheza 3 Miami,and then the last 2 in OKC if necessary.Unless ulimaanisha kuwa Miami watachukua ubingwa nyumbani.
Nilimaanisha hivyo mkuu lakini BAK kanifahamisha.
Humu watu nimeona wanageuka Gafla mara OKC mara Miami mara OKC tena mara Miami hii Final chagueni moja Mie Team Thunder OKC, sio mnageuka kama wanaojichubua ngozi. Team Thunder Binya like.
Humu watu nimeona wanageuka Gafla mara OKC mara Miami mara OKC tena mara Miami hii Final chagueni moja Mie Team Thunder OKC, sio mnageuka kama wanaojichubua ngozi. Team Thunder Binya like.
--Lil WaYnEAgain I was treated like sh!t by the Thunder arena staff...dam..I hope da Heat beat da dog sh!t out em!!E
Miami is going to sweep the next 3 games. OKC have nobody to blame but themselves for allowing to be down in a hole early.
That is now 3 games in a row they've found themselves trailing by double digits in the first quarter.
What's up with that? Are they just pretenders and not contenders?
It's crystal clear to me that the Heat are more hungrier than the Thunder. The Heat came out with all guns blazing while the Thunder started out lackadaisically. I've concluded that they are not championship material yet and I'd be surprised if they win a single game in Miami.
Watch what happens on Sunday.
--Lil WaYnE
![]()
the monkey has his favorite food...the banana.....
Lil nikka probably showed up without a ticket, typical african sh!t, it is in dna!..lakini response yake ilikua ya kitoto sana, njemba zimetuka nakule kwa social media mpaka basi, bange & kokaina cocktail ni soo.Lol Abdulhalim unajuwa vijana wakishakuwa na pesa wanataka warambwe Soli ya Viatu au mtu mzima afunge kamba za viatu, kumbe ndomana Birdman anakuwa sana Game za Miami?
Tizama Floyd mayweather jamaa nampenda kama Boxer ila Jela analalamika msosi maeneo ya mazoezi anataka awekewe vizuri kwani Rehab kule au Disney Land?
Lil Wayne NBA timu itayofika Final akaona inauhai atatafuta siti ya mbele Lakers yumo Dallas Yumo hii ndio inanionyesha baazi ya wanamuziki wanatengenezwa Biashara anapelekwa na kampuni media ziongelee tujue yupo.
![]()
the monkey has his favorite food...the banana.....
![]()
the monkey has his favorite food...the banana.....