The Official NBA Thread

Leo Miami wataenda 2-1 ila bado Thunder ndio watakuwa na Uhai wakuchukua Ring. Hizi Game mpaka Q3 then ikienda mpaka Q4 naomba ifikie mpaka last second au OT leo.
 
OKC mkuu wanashinda hii.

Enjoy the game too

Labda yule Westbrook aamue kuwa a team player akiamua kufanya ubinafsi na kusababisha turnovers kibao basi hawana chao leo..Uwezo wa kushinda wanao kabisa kwa sababu kama waliweza kuwashinda Spurs ugenini basi sioni tatizo la kushinda angalau mchezo mmoja Miami.
 
Miami Game wanaocheza sawa na Netball ila yenye Speed sawa na handball yenye power, James sawa na Bully wa jela anaye chukuwa vyakula vya wenzake Prison namna anavyozichukua Rebound plz OKC do Something.
 
3 lazima wazuie OKC ila bado tuache waliostaafu ambao wapo kwenye Game ya NBA sasahivi sijaona wapiga 3 kama Durant na Love ila huyu Battier kudadeki anaumiza sasa.
 
3 lazima wazuie OKC ila bado tuache waliostaafu ambao wapo kwenye Game ya NBA sasahivi sijaona wapiga 3 kama Durant na Love ila huyu Battier kudadeki anaumiza sasa.
Anaboa sana jamaa.

Game 2 Durant angepiga tatu tu ,naona zinamkubali sana
 
Huyu Westbrook muda mwengine mtu unatamani umpige makwenzi ya Kusugua grrrrr!!!
 
Huyu Westbrook muda mwengine mtu unatamani umpige makwenzi ya Kusugua grrrrr!!!

Umeona eeh! Halafu anaambiwa na Wakongwe kama Magic Johnson kwamba apunguze uselfish ili kuhakikisha mafanikio ya timu, analeta kibri.
 
nw game iko tight ndo vyema! M sure we r up for a real gud treat 2nyt towards de end of de game....
 
don really know wats wrong wit OKC 2day, 4de past 4 minutes they hav failed 2 make a basket.. N LJ amemkaba sana Kd, OKC shud luk 4 anaza alternative or else they r goin down
 
Series inamalizikia Miami

Tatu si ishu sana. Leo kama wasingeruhusu kuwa nyuma 18-2 uwezekano wa wao kushinda ulikuwa mkubwa.

Sasa huko Miami sidhani kama watashinda hata game 1.


Haya sasa.....
 
huyu msauzi africa-faransa-switzerland ni mwizi mzuri sana lazma atakua ana asili ya kitz tuuu akacheki vzuri na wazazi wake!

Nw its a 1pt game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…