The Official NBA Thread

Poor free throws na uselfish wa Westbrook umeikosesha tena ushindi OKC, wajaribu tena mchezo unaofuata June 19th, 2012.
 
OKC hawako hungry kama Miami. Walikosea sana kuruhusu ku-split 1-1 walipokuwa kwao maana kama wangeshinda game ya 2 walikuwa guaranteed kurudi Oklahoma kumalizia games 2 za mwisho!!

Sasa wasahau kabisa maana sidhani kama Miami watataka kurudi Oklahoma. Madogo wa OKC hawako serious na hawana njaa na ubingwa. Ni hype tu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…