Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu Nyani Ngabu hii kitu hata mimi naona inatisha kwa kweli.
Ila mmmh Michezo huwa ina miujiza, wanaweza wasiive chungu kimoja hao na wakawa wanachekesha tu.
On paper inatisha....sasa tusubiri tu season ianze ili tuone itakuwaje.