The Official NBA Thread

Ratiba kamili......
 
HAKUNA CHA KUANGALIA UPEPO HAPA, BULLS WAKIPIGA 2-0 HOME wakaiba 1 AWAY UJUE MIAMI KAUMIA.

FIKRA ZA LEBRON BAADAE ZITAKUJA DAH WADE KANIPONZA KWELI KWENDA MIAMI MTIZAMO WA STAREHE ZA SOUTH BEACH...

WADE JANA KAPIGWA POSTER YA NGUVU KWELI WAENGEREZA WANASEMA "WHAT GOES AROUND COMES AROUND " πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:SINDIO ALIMPIGA POSTER YULE MBRAZIL KIPINDI KILE NAYE LIMEMKUTA MIKONO JUU MSALIE MTUME.

MIE JAPO DALLAS WAMETUENYESHA LAKERS NATAKA DALLAS ABEBE RING IMEPOTEA BULLS. NA MIAMI WASIPOBEBA HII UJUE WASUBIRI MIAKA 3, LAKERS ITAKUWA ISHAJIPANGA NA CP3 na HOWARD.πŸ˜›ound:
 

Kaka Dallas wamepumzika vya kutosha tofauti na OKC ambao walibidi kusweat blood kufikia fainali yao huko West, lakini OKC ile ni kitu nyengine. Nna uhakika na hilo.

Lakini kwa kifupi baada ya Lakers kutolewa mi naona hapa hakuna dominant team, yeyote anaweza kuchukua ndoo ingawa East wanaonekana wana timu nzuri on paper. Anyway mi naangaliaangalia tuu nione games zitavoenda.
 
Jamaa anasubiri ku-confirm kama kweli wako fit au vipi lol. Namsubiri fainali , na mie sitangazi timu nitakayo weka hela yangu lol.
Duh, baada ya msimu mbovu kule Emirates bado una hamu ya kuweka dau tu? ok, anyway, dau mwaka huu limeongezeka kwa 100%.
 
Kutolewa kwa Lakers na Celtics kweli kumefanya kila timu iliyobaki kuwa na nafasi,Kuna rumours kwamba Superman atakwenda LA.Kwa sasa hata mimi kura yangu inakwenda kwa Thunder
 
Duh, baada ya msimu mbovu kule Emirates bado una hamu ya kuweka dau tu? ok, anyway, dau mwaka huu limeongezeka kwa 100%.

ha ha ha hata ukitaka liongezeke kwa 200% poa tu mkuu .

Emirates kule hamna msimu mbovu ,ulikuwa msimu wa kawaida kutokana na malengo yetu lol.
 
Dallas wanaongoza 1-0,huyo mjerumani ni balaa so far nafikiri ndio MVP wa Playoff
 
Kutolewa kwa Lakers na Celtics kweli kumefanya kila timu iliyobaki kuwa na nafasi,Kuna rumours kwamba Superman atakwenda LA.Kwa sasa hata mimi kura yangu inakwenda kwa Thunder


hahaah na Thunder yenu Yule Mjerumani anatisha kama Ukoma+Ukimwi anajiweka sehemu nzuri labda Durant aige game inayokuja. Nitafurahi Superman akija Lakers inabidi Kujitolea Odom na Bynum nasikia. tunahitaji na CP3 au watu kama kina sio kina Nash kama Kina Nash,Kidd,Rose vitu kama hivyo.
 

Mazee this happens only in dreams. Timu yenu ya Chai na MVP wenu wameangukia pua. Sasa hiyo habari ya steal homecourt kibao kimegeuka sasa. Benchi la Miami sasa lipo powa baada ya kurejea mzee mzima Haslem. Kwa maoni yangu Chai tayari wameshatosha. πŸ˜›ound:
 

Hahahaah Abdulhalim naona ulikuwa unasubiri kwa hamu upepo ugeuke duh tehteh! haya bwana Rose alichemsha na mie nasubiri Upepo ila kama nilivyosema ipo Dallas Bado.
 
Hahahaah Abdulhalim naona ulikuwa unasubiri kwa hamu upepo ugeuke duh tehteh! haya bwana Rose alichemsha na mie nasubiri Upepo ila kama nilivyosema ipo Dallas Bado.

Haiya! Wachunguzi wa mambo tulishaona hili.
Kaka timu yako ya Mjeremani imeanza kutosha we are level, ladies and gents.
 
hapa patamu ....pote game zime tie

Duraaaant goes high...
 
i so like de west finalz maana kule kuna upinzani wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…