Unajuwa Wakuu GAme mie Ilivyobakia DK 5 niliwacha kutizama nilivyojuwa itakuwa ishakwisha lazima Thunder watakuwa 2-2 natizama naona kumbe Dallas kashinda nikasema Basketball kweli NBA hata sec 1 basi kunatimu inaweza kushinda hata ikiwa nyuma inategemea na Play. sema timu za Sec 1 inataka watu kama hawa Kobe,Dirk,Wade,Lebron,Allen,Pearce hao ni uhakika. hata Durant