The Official NBA Thread

i so like de west finalz maana kule kuna upinzani wa kweli

Kweli Mkuu hata mie nakubaliana West wanacheza Basic Basketball sio Showingoff East more skills .. Abdulhalim kafurahi Dallas kachapwa ila watarudi unajuwa hizi Game Bench ndio ikiweza kufanya kweli timu inashinda.. Dallas wana yule Kibushuti Alan Iverson wa Porto Rico Mkali sana.
 
Poor game by OKC, everyone was poor all along. lol. Lakini it aint over till its over.
 
Poor game by OKC, everyone was poor all along. lol. Lakini it aint over till its over.

Ujuzi kaka hahaha ukiwa na Watoto basi uwamuzi utaenda kitoto tu kama Arsenal:biggrin1:... Jason Kidd pale na wenzake wanaujuzi Thunder ni wasahau tu. tuone leo Chicago itakuwaje.
 
Ujuzi kaka hahaha ukiwa na Watoto basi uwamuzi utaenda kitoto tu kama Arsenal:biggrin1:... Jason Kidd pale na wenzake wanaujuzi Thunder ni wasahau tu. tuone leo Chicago itakuwaje.
Tatizo kubwa lilikuwa ni insanity ya huyu dogo Russell. Anataka apenetrate kila wakati a.k.a 'Kobe wannabe'. Kila akienda anakutana na matawi lakini anarudia upuuzi uleule. Ameniboa sana. Hata KD naye alichemsha. Hata wangeweza kuchukua game 4th, again with stupid turnovers that couldn't happen. Mavs bado sana, maana wanekutana na on form OKC 20pts lead ingegeuka kipigo. Nways until fat lady sings. 🙂
 
Bulls wamepokea kichapo 2-1. Dah ndoo inaeza ikaenda kweli Miami.
 
Bulls wamepokea kichapo 2-1. Dah ndoo inaeza ikaenda kweli Miami.

tunaongea Mapema ila Kweli Ndoo na mie nishaiwekea wasiwasi inaweza Kwenda Miami Sema Chicago kama Rose ataweza kupenya na wakaweza kupiga Tatu,3 bila kuogopa wanauwezo mkubwa sana wa kumfunga Miami. kwahiyo 50/50 ikienda 2-2 chicago anabeba ikienda 3-1 Miami ila Thunder wasahau. Mie naona Russel tatizo lake Moja anataka kufanya kama Rose sema watu akikosea wanamrukia kama sio superstar bado sasa Comment zile zinamuuwa badala ya kusikiliza Ushauri yeye anataka ku prove people Wrong.. Russel pia naona ndio kinachomuharibia Rose nafikiri anatizama watu wanavyoongelea Russel inamfanya badala kuingia yeye anachelewesha na kutowa pasi sehemu sizo. au mnaonaje Wadau?
 
Dah naona Thunder wanapoteza gemu muda si mrefu
 
Dah naona Thunder wanapoteza gemu muda si mrefu
Naona wameamua kugive up, walikuwa wanaongoza by 10 points with 3. something minutes to go. Their defense is a suspect, am sure now they are done and out.
 
Naona wameamua kugive up, walikuwa wanaongoza by 10 points with 3. something minutes to go. Their defense is a suspect, am sure now they are done and out.

Nowitzki ni noma aisee..........duh!!..........
 
Inaezekana, ila mi nadhani hakuna match-up ya maana pale OKC.

kweli aisee....kale katoto Durant kanajitahidi lakini...........inavyoelekea Mavs watakutana na Heat........wakikutana hao walau tutaona mavitus ya kiukweli............
 
kweli aisee....kale katoto Durant kanajitahidi lakini...........inavyoelekea Mavs watakutana na Heat........wakikutana hao walau tutaona mavitus ya kiukweli............
Miami wamenunua tayari ndoo, the big three wanascore points 70-80 per game, na benchi likiongeza zingine 20 is enough to win any game.
 
Biashara imekwisha hawa watoto wa Thunder wamemshindwa huyu Mjerumani
Fainali itakuwa Miami VS Dallas
 
Kevin yuko na press sasa hivi anatia huruma......ameshika tama
 
Miami wamenunua tayari ndoo, the big three wanascore points 70-80 per game, na benchi likiongeza zingine 20 is enough to win any game.

True....halafu ulicheck jinsi James alivyoshirikiana na Bosh ile last game......jamaa ni moto........Bulls wanaweza kuja kuwa-surprise kwenye next game lakini...........
 
True....halafu ulicheck jinsi James alivyoshirikiana na Bosh ile last game......jamaa ni moto........Bulls wanaweza kuja kuwa-surprise kwenye next game lakini...........
I hope so..lol. Mkuu game ijayo ndio itathibitisha kama series bado ipo alive au la. Lakini mi naona kama mabingwa wa east na west tayari wanafahamika hadi usawa huu.
 
Dogo anajitahidi sana....nilependa OKC waingie final.....

Hahahaha na Thunder yenu na Abdulhalim katulia sasa NBA uzoefu unasaidia wale bado vijana... mie naamini bado Chicago Kama 3 na Rose ataweza kuwa na 30 points zaidi ya Hapo NFL Player Lebron James na Wade sababu ni Mjuzi ashawahi kuvaa ring ndio kitachowasaidia. mie i hope ni Dallas na Chicago then Mavs to win it. i want west to do it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…