The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Mazee umenichekesha kweli na huo msemo...yaani nimecheka basi tu...:redface:
Mkuu that is what is happening now. 12 pts game again. Dallas will just play simple basket and run the clock. Ring tayari kabatini hii.
 
....Miami ikifanya mchezo leo, Dallas watachukua ushindi leo.
 
Sasa hivi naaangalia Tony awards kwa vile naaamini kuwa Miami wameula wa chuya
 
Bareaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
79e71ab5a068d4fd7990a848d71f19fc-getty-114832846mw019_dallas_maver.jpg

 
ha ha ha ha Nowitzi angejifanya anakooa kwenye hio drive ya mwisho safi sana.

Wade na james sasa waende nyumbani wakakooe vizuri.
 
Mtu mzima kaenda lockeroom wala hana fujo lol, Angekua James hapo na mziki angeupiga au angerusha mipoda yake juu lool.
 
Back
Top Bottom