Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah nilicheck gemu mpaka katikati ya quarter ya tatu.........kumbe Heat walikuja shinda!!......lakini Heat bado sana aisee....hii ngoma inaweza kuwaponyoka kama ilivyokuwa last year........Kevin inabidi apunguze rafu zake
This guy is insane..doing same thing expecting different result..last season ile njemba Tyson Chandler ilimpatia sana na penetration zake fwamba. I thought this season atabadilika kumbe wapi..kijana analack iq ya kuwa top-baller..athletism pekee haiezi kumsaidia mtu asiyepekecha akili.congrats to MIAMI.... It seems OKC need one more year to fix a few bolts and nuts in order to be ready for the bucket!!!
Just like MIAMI last year
I think Westbrook needs competition, he is killing his fellow cadence
na uhakika OKC wata come up games zilizobakia......
na uhakika OKC wata come up games zilizobakia......
okc wapo serious sana rifu sema jana ni mammbo ya mchezo na yule dogo westbrook aliwakwanza wenzie..ila mie na uhakika miami sio wa kutisha naajua kweli lebron mwaka huu na wenzie wamepania kuchukua ndoo mwaka huuArifu hao madogo hype tu...hawana lolote. Walikosea sana ku-split 1-1. Kesho kwao ni do or die na wakipigwa bao kesho basi watafagiliwa.
Hawako serious kabisa. Hawautaki ubingwa kama ambavyo Miami wanautaka. Tutaona kesho itakuwaje ingawa nawapa Miami asilimia 99 ya kushinda.
okc wapo serious sana rifu sema jana ni mammbo ya mchezo na yule dogo westbrook aliwakwanza wenzie..ila mie na uhakika miami sio wa kutisha naajua kweli lebron mwaka huu na wenzie wamepania kuchukua ndoo mwaka huu
Mimi naona sasa Westbrook watu wanamfanya anakuwa scapegoat tu. Jana ile OKC wamekosa free throws 9. Kama hizo zote zingeingia wangeshinda game. Hata kama zingeingia 4 kati ya hizo 9 walizokosa ushindi ulikuwa ni wao. Sasa katika hizo free throws 9 walizokosa sio Westbrook peke yake ndiye aliyekosa.
Kesho ni do or die kwao. Wasiposhinda kesho wa-kiss finals goodbye manake Miami sidhani kama watataka kurudi tena Oklahoma kucheza games 6 na 7.
na uhakika OKC wata come up games zilizobakia......
Mimi naona sasa Westbrook watu wanamfanya anakuwa scapegoat tu. Jana ile OKC wamekosa free throws 9. Kama hizo zote zingeingia wangeshinda game. Hata kama zingeingia 4 kati ya hizo 9 walizokosa ushindi ulikuwa ni wao. Sasa katika hizo free throws 9 walizokosa sio Westbrook peke yake ndiye aliyekosa.
Kesho ni do or die kwao. Wasiposhinda kesho wa-kiss finals goodbye manake Miami sidhani kama watataka kurudi tena Oklahoma kucheza games 6 na 7.
Ritz, KG yupo Boston Celtics, lakini mwisho wa msimu anakuwa free agent, na sidhani kama anaweza kuendelea kucheza.Wadau wa NBA JF.
Yo Yo, Pazi, Nyani Ngabu, Ab-Titchaz, BAK, Janjaweed.
Hawa ma-stars wa zamani wa NBA bado wapo kwenye medani ya Kikapu.
Kevin Garnett - Minnesota
Glen Rice - Charlotte
Mitch Richmond - Sacramento
Scottie Pippen - Chicago
John Stockton - Utah
Charles Barkley - Houston
Larry Bird - Celtics
Kevin Wills
Clyde Drexler
Shawn Kemp
Vince Carter