Haha, kama Kinana. Mi ningekuwa nimeiba pesa kama hao wazee ningeenda zangu Zanzibar kutulia huko..., yanini kupigishana kelele vuvuzela Makonda?Wengine kadri wanavyozeeka ndio wanazidi kupenda drama, umbea, uzandiki na unafiki, hasa huko siasani, maofisini na mitaani.
The saying is not always right.