The older you get, the more you realize

The older you get, the more you realize

LUGWA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
961
Reaction score
472
Yawezekana
FB_IMG_1700243599138.jpg
 
Mbona mi ndio huwa naona hivyo toka niko mdogo?, tatizo kwa mwanaume unalazimika kupambana na mikiki na stress, sio kwamba tunapenda
 
Wengine kadri wanavyozeeka ndio wanazidi kupenda drama, umbea, uzandiki na unafiki, hasa huko siasani, maofisini na mitaani.
The saying is not always right.
 
Wengine kadri wanavyozeeka ndio wanazidi kupenda drama, umbea, uzandiki na unafiki, hasa huko siasani, maofisini na mitaani.
The saying is not always right.
Babu,sahihi formulas wanazidisha
 
Wengine kadri wanavyozeeka ndio wanazidi kupenda drama, umbea, uzandiki na unafiki, hasa huko siasani, maofisini na mitaani.
The saying is not always right.
Haha, kama Kinana. Mi ningekuwa nimeiba pesa kama hao wazee ningeenda zangu Zanzibar kutulia huko..., yanini kupigishana kelele vuvuzela Makonda?
 
Back
Top Bottom