Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA
Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad.
Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote tunafanyakazi East African Cargo Handling Services (EACHS).
Tumekutana kwenye walima wa mmoja wa wajukuu zetu ameoa na nikamuomba nipige picha na yeye kwani yeye ni mtu maarufu.
Nimejiponza.
Camera zilizokuja katupiga picha ni nyingi pamoja na camera kubwa za vyombo vya habari.
Kila mtu anakuja anataka apige picha na The Legend.