The one and only Haji Sunday Manara

The one and only Haji Sunday Manara

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA

Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad.

Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote tunafanyakazi East African Cargo Handling Services (EACHS).

Tumekutana kwenye walima wa mmoja wa wajukuu zetu ameoa na nikamuomba nipige picha na yeye kwani yeye ni mtu maarufu.

Nimejiponza.

Camera zilizokuja katupiga picha ni nyingi pamoja na camera kubwa za vyombo vya habari.

Kila mtu anakuja anataka apige picha na The Legend.

Screenshot_20211010-192759_Facebook.jpg
 
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA

Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad.

Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote tunafanyakazi East African Cargo Handling Services (EACHS).

Tumekutana kwenye walima wa mmoja wa mjukuu zetu ameoa na nikamuomba nipige picha na yeye kwani yeye ni mtu maarufu.

Nimejiponza.

Camera zilizokuja katupiga picha ni nyingi pamoja na camera kubwa za vyombo vya habari.

Kila mtu anakuja anataka apige picha na The Legend.

View attachment 1970415

Hakuja na mpendwa mke wake? Maana kuna watu wanazusha kwamba amekimbiwa na mke kwa mara nyingine, eti kwa kuwa anakunywa sana pombe na kumtolea maneno ya shombo
 
Mwambieni huko aliko kwamba matajiri wote duniani wanaongea lugha moja!! ni ngumu mno kuwagombanisha sana sana watakujua tabia zako then wana-kuignore ama wanakuwa makini na wewe.
 
Mzee Mohamed

Naomba unisamehe Ila hata wasomaji wa uzi huu ni mashahidi kwa jinsi ulivyofanana nae Haji Manara ukiondoa tofauti ya rangi na umri
 
Kwamba we mzee bado unafanya kazi? Aise, halafu vijana wenye miaka 45 au chini ya hapo eti utawasikia eti wamechoka KUFANYA kazi, mzee since uhuru wa Tanganyika yupo yaani!
 
Back
Top Bottom