chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Rais mstaafu jk kwa kutumia idara ya usalama alisaidia Kenya kuzima jaribio la al shabab kushambulia wakati sherehe za kupisha rais kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais mstaafu jk kwa kutumia idara ya usalama alisaidia Kenya kuzima jaribio la al shabab kushambulia wakati sherehe za kupisha rais kenya
Unaagalia sana soap opera mpaka unaanza kuziamini. Hakuna nchi hapa EA inajitolea kwa Kenya kama Tanzania. Tena kwa moyo mkunjufu, ila mnajisahau na kuanza kufikiri ni shamba la bibi.Lakini hivi mbona Watanzania basi wanachukia wakenya, tena wivu sana, sijui kwa nini, hadi rais mara hutaja Kenya!!
Hhhhh!! Eti Soap, noana ni wewe zimekukolea, hoja zako hizi kijingakijinga maanake kuona hizo filamu za watu kulialia, unarudi hapa kulialiaUnaagalia sana soap opera mpaka unaanza kuziamini. Hakuna nchi hapa EA inajitolea kwa Kenya kama Tanzania. Tena kwa moyo mkunjufu, ila mnajisahau na kuanza kufikiri ni shamba la bibi.
Wakenya ndo mna chuki, yaani povu linawatoka hadi mnaanza kutukana tu mtandaoniLakini hivi mbona Watanzania basi wanachukia wakenya, tena wivu sana, sijui kwa nini, hadi rais mara hutaja Kenya!!
Na sa hizi tumeamua mkuu! Ngoja wao waendelee kujiona wako juu, ni suala la muda tuKazi kweli kweli
Africa kusini hakuamini kama mnaigeria atampiku kwenye uchumi
siku zote mwenye nacho ni mwenyenacho tu!!.
Tanzania ina kila namna ya kuipiku Kenya kiuchumi
ni kuamua tu
the answer is simple..u can notIt is true that majority Kenyans in general are hardworking people but also are tricky ones.
As a nation they count themselves a super power among East Africa Countries. They would like to grab any opportunities in other members of the block. In their mindsets it is inconceivably to hear that there is any thing good( according to them) from minors like Tanzania etc etc. However there are divine potentials which you cannot change. While we are talking of common tourism policy, Kenyans are claiming that Mt Kilimanjaro is in Kenya! Having such a neighbour can you trust him and have a common strategies ? I wonder!
U have soiled your otherwise good analysis with that claim, which I am sure u cannot substantiate. It's nonsensical.Kenyansare claiming that Mt Kilimanjaro is in Kenya!
It is true that majority Kenyans in general are hardworking people but also are tricky ones.
As a nation they count themselves a super power among East Africa Countries. They would like to grab any opportunities in other members of the block. In their mindsets it is inconceivably to hear that there is any thing good( according to them) from minors like Tanzania etc etc. However there are divine potentials which you cannot change. While we are talking of common tourism policy, Kenyans are claiming that Mt Kilimanjaro is in Kenya! Having such a neighbour can you trust him and have a common strategies ? I wonder!
Kwa hiyo vyote vinaonekana vizuri kutokea upande wa Kenya ni vya Kenya. That is a highest level of greedy from you. Ndiyo maana tunasema huo ni urafiki wa mashaka. It means you you do not respect any possessions of your neighbour if it happen to be within your reach? Kenyan are well treated here in Tanzania but with that mindsets it will make us think twice in trusting you.Umeongea maneno hayaeleweki kabisa, hivi unajua unachokisema kweli??? Mimi niliuliza kwanini Watanzania wivu limewajaza povu mdomoni juu ya Kenya???????????
Statements kama hizi hunishangaza sana. Watz, muache wivu na chuki kwa jirani. Kama sasa unataka tufanye aje kama Kilimanjaro huonekana vizuri ukiwa Kenya??? Tuhame??? Hebu Tazama picha za Amboseli hapa, hapa ni Kenya lakini views tamu za Kilimanjaro unazipata hapa!! Unatak tufanye aje?? Tuhamishe Amboseli??? Ama mbomoe Kilimanjaro mpeleke Morogoro....
View attachment 484903 View attachment 484904 View attachment 484906 View attachment 484908
Kwa hiyo vyote vinaonekana vizuri kutokea upande wa Kenya ni vya Kenya. That is a highest level of greedy from you. Ndiyo maana tunasema huo ni urafiki wa mashaka. It means you you do not respect any possessions of your neighbour if it happen to be within your reach? Kenyan are well treated here in Tanzania but with that mindsets it will make us think twice in trusting you.
Why should we be jealous of Kenya? Just be honest with yourself between us ( Tanzanians and you Kenyans ) who are more hospitable to others? Let not talk cheap lip serves but reality of the matter.You see, these are the very statements from Tanzanians that makes us Kenya wonder which kind of a neighbor we have. Being jealous of Kenya will not take you any place my friends. This is something Tanzania has not understood up to now
Inategemea wewe unapakana na wa nchi gani? Watu wakusini mwa Tanzania nao watasema ni rahisi kushirikiana na Wamalawi kuliko Wakenya.Nawapenda wakenya.tukiwa nje ya nchi tunakuwa kitu kimoja.Mtanzania atamkubali na kumwamini kiraisi zaidi Mkenya kuliko tuseme Mnigeria,au hata Mmalawi au Mzambia.Madongo tunatupiana tukiwa kwetu tuu.
Why should we be jealous of Kenya? Just be honest with yourself between us ( Tanzanians and you Kenyans ) who are more hospitable to others? Let not talk cheap lip serves but reality of the matter.
Yes we cannot be the same in each and every aspect of life as we have different cultures and even mode of lives. But for us to be good neighbors we must adopt common friendship core values. Like respecting each and maintain a win win situations in socioeconomic issues. Labelling each other it won't help us bridge the gape of mistrust especially taking into account of past history like of the died East Africa Community. Tanzanians still harbours hard feelings that Kenyans were the root cause. Another living example Just a week ago Tanzania received envoy from Kenya which was asking for Doctors as to rescue the situation in their taking into account of the on going standoff of Kenyans Doctors. But what follows in social media is a laugh because the same are labelling Tanzanians Doctors as "Waganga wa Kienyeji" -witchdoctors. Just think how embarrassing it is? Are you serious?
Why Tanzanians do not trust Kenyans in a joint businesses ? The answer is simple. Because Kenyans are not trustworthy when it comes to businesses.Hivyo ulivyoma ni sawa, ila Watz mnashida ya kutoamini Wakenya, ikija kufanya biashara pamoja, mnaanza kunung'unika!! Ilivyo akunga EAC hapo awali Tanzania inawalaumu Wakenya kivipi sasa, mbona Tanzania iwe hivi??? Naona Watanzania walichukua mkondo mbovu sana