hata mim nimehis hivyo ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au Mwifwa kaibiwa simu yake?
Kupatwa kwa Mwifwa na mahaba ya mwendo kasiLoooh kupatwaaa kwa Mwifwa
Kabisa ndugu yanguUkoo unadhidi kupanuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
Kama mie ujue, hadi nikakumbuka lile blanketi rafiki kumbe halikuwa la maandishi kumbe la ukweli banaaaa.
Ndo maana nakupenda my hunie wifii,Nipo mydarling wifi,
Nilikuwa napambana na familia siunajua lovely brother wako alikwenda home kumuona mzaa chema
[emoji113] [emoji113]Hahah
Unaogopa auuu
Nakuaminia mpenziOkey mylove kuwa na amani kabisa ondoa shaka juu yangu
Asanteni sana huko Dar muhameeee Hakuna mahabaaaaaKwakweli hongera zako na wewe kwa kulifanikisha hilo swala
@Davet amesema eti alisha kupa ramani sasa ni nahodha mzuri tuu.Itakuwa jambo jema sana
Wewe huishiwagi majibuuu!!Umeniwahi nilikua njiani niwie radhi furaha imezidi kikomooooo
Shikamooo My [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]sisy
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]....ni vipiii!![emoji1][emoji1]
Na majongolooooo yakeeeKumekucha
Bado mm nn!?[emoji20][emoji30]Bado wewe sasa
Alirudi kachoka sana shemeji yangu, na mimi huwa ninautaratibu pindi anapokuwa kachoka viungo vya mwili wake basi huwa nina mfanyia full massage [emoji4]Shem nilikupa salamu hukuzifikisha kwanini?