The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Alirudi kachoka sana shemeji yangu, na mimi huwa ninautaratibu pindi anapokuwa kachoka viungo vya mwili wake basi huwa nina mfanyia full massage [emoji4]
Wakati nikimsindikiza na maneno matamu tamu kama vile baby i really missing you, yaan ulivyoondoka nikawa naogopa kubaki mwenyewe, huku baridi na hii mvua next time itabidi tusafiri wote baby wangu.

Sasa zile salamu ningempa saa ngapi shemeji yangu?
Nisamehe tuu shem.
Mpenzi nashukuru unaishi na ndugu zangu vizuri sana.
Najua kwa kukaribishana kule salam ilikuwa haina pa kuingilia
 
Eti siye si watu wanajua kuwa twapendana tayari kias hatuhitaji kifungua siredi
Kuna utaratibu wa posa, kutangaza siku kadhaa sherehe itakapofanyika, hayo yote ni kuwahabarisha watu juu ya kilichopo miongoni mwa wahusika.

Kama yupo alikuwa ana nia naye akiona/hizo habari atafanya maamuzi mengine
 
Back
Top Bottom