Kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na majongolooooo yakeee
Jirani haya mambo we acha tu, nguvu ya uvutano haielezekei.Woyoooo
Jirani yangu mimi apaaaa!!!
Naona moyo umedondokaaaaaa kwa binti mapesaaa!!!
Mungu awajaalie kila lenye kheri jamanii!!
Moneytalk kupendwa bahati mdogo wangu!! Ushikwapo shikamanaa!!!
HahahahaTimiza hitajio la watu bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wacha bwanaa...!!![emoji2][emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba alifika nusufainali usiharibu sherehe
Bingwa ashapatikana
Simu yangu ninayo 24hrs tangu niinunue Dukani miaka 2 iliyopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ni aandike tu anayoongea
Doh nimeipenda hiyo icebrightHaaa
Meli yetu ya Icebright ipooo
Si unajua nilisafiri shemeji yako akawa na kazi nyingi na ameniambia hata nyumbani kuwasalimia kaka.
Tukimbie tu hakuna namna Lakin Bak nikwambie kituMie tena na hilo genge la wahuni itakuwa patashika nguo kuchanika. Sitii mguu asilani!!! Watanisikia kwenye redio mbao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okay braza kuweni makini na kupiga makasia...bahari ina mambo mengi.Haaa
Meli yetu ya Icebright ipooo
Si unajua nilisafiri shemeji yako akawa na kazi nyingi na ameniambia hata nyumbani kuwasalimia kaka.
Mi hadi kichwa kinaumaMacho yanaumaaaa vidoleeee vinaumaaaa jaman khaaaaa Jf inanitoa chambo
Ngoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pambeeeeee [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Ni hatariii
UnachocheaaaaKwani kina carbamazepine wako wangapi? Mie namjua mmoja tu.
Bado wewe sasaAmen
Ukisikia mtikisiko kuwa makini na kinachoweza kutokeaKwa hiyo mpenzi unataka usema maneno nnayo kupaga hayafikii ya Mwifwa
Au na wewe unataka nifungue siredi.
Nilikuwa kwa Mwifwa tuna andaa shughuli ya leo narudi sasa hivi mama watoto