The Only One My Love moneytalk

Kuna utaratibu wa posa, kutangaza siku kadhaa sherehe itakapofanyika, hayo yote ni kuwahabarisha watu juu ya kilichopo miongoni mwa wahusika.

Kama yupo alikuwa ana nia naye akiona/hizo habari atafanya maamuzi mengine
Hahahaha
Sisi tulisha pita ila si unajua hata mwenyez Mungu anataka tusijioneshe sana kwenye mambo ya kheri.
Tulifanya kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…