The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Mapenzi ni ngao kaa ufikiri
Kwa wapendanao hukaa wawili
Fanya chuki nao, wala hawajali
Hupeana vyeo wenyewe kwa siri
Kama huyajui uliza wenzio

Hajar nimekumbuka beti chache hizi kutoka katika wimbo wa taarab asilia wa Club ya Culture kutoka masiwani Unguja, basi umfikishie ndugu yako Mwifwa na wifi yako ingawa hamkutualika pilau ya shughuli Hajar
Shukrani sana mkuu Sesten Zakazaka.
Ujumbe umefika
 
No baby, ila hii mistari ya Mwifwa ni kiboko sana au wewe hujaona alivyoipangilia?

Yaani nimejikuta nasoma huku natikisa kichwa kwa madaha utadhani ndio muhusika mkuu [emoji28], ila nilikuwa najaribu kuyasoma huku navuta picha yako juu ya maneno yale unayoniambiaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom