NasubiriHahahaha
Ngoja niwe mzuri kwenye kuandika itakuja bonge ya siredi
Aiseeh [emoji848]Nataka siredi yenu jamani,ya icebright
Nasubiria kipaji chako cha kushusha mistariBado mm nn dada!!!?[emoji12][emoji20][emoji19]
Atawezea wapi huyo mtt wa idodoma [emoji2][emoji2]Akicheka kisukuma uniite
Heheheheee [emoji850][emoji40]
Nimemtafuta shem popote alipo mpaka nimempata...Nishafika bana
Tujirejista afu tukapige umbea kule,wiki tu sie matajiriAiseeeee toka juzi sijapumzikaaaa ingekuwa steemit ninge download madoraliiii
hahaaa..mtoa roho nae yupo kazini hivyo ....au wahisi ameshatumbuliwa ??Mwakani inakamilika 2020 meli zinaanza kujaa!..Nitasubiri
Njema sana dadaSalama kabisa Mdogo. Habari ya Weekend?
Wewe sikuamini kabisaaaNafurahi kuona kaka angu amepata pumziko la maishaaaaa
Hahahahabado naziandika nakuziSave siku yake ikifika nitazimwaga zoote humu...[emoji38][emoji38][emoji38]
hahahaLoooh unataka nijitekeeeee eeewh
Nmemuita anakujaNiko poa
Huyu mrembo ako wapi
Sawa shem ngoja tumsubiriAnakuja shemela
AaaahHapo ndipo tunapofeli walimwengu katika suala zima la mahusiano au ndoa.
Nguzo ya pekee ni Upendo kwa dhati, ndipo yatafuata mengine
Kabisa baby wangu, niombee msamaha kwa shemeji yangu.Mpenzi nashukuru unaishi na ndugu zangu vizuri sana.
Najua kwa kukaribishana kule salam ilikuwa haina pa kuingilia