Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Ntatembelea nyota yakoKingerezaaa tatizoooo itabidi wote tuhamie kuleee nahisi mimi nitapiga madorali maana nina nyotaaaaaaa
Ndio harakisha sasa kuleta meli bandarini tuione!..hahaaa..mtoa roho nae yupo kazini hivyo ....au wahisi ameshatumbuliwa ??
ahsante lovieWooooooyooooooooo
Love birds on point.....
Hongereni wapendanao
AmenOohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
Hahah!!Aiseeeeeee basi balaaaaaaa
Msitu wa homboloooo j3 Nikiwa naenda chuooooKuni zikiisha uendee zingine msituni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatutakii mema ujue mpenzi tena Miller ndio kiongozi wao.
Wapi hukoooDemiss
Jolie
Hazard
Mumu
Mwifwa
Mr miller
Davet
Sakayo
Ukhuty
Uwiiii lazima tuwe matajiri
mstuko wa nini tena jamanMkuu hongera nitatoa ila nimepatwa na mshtuko kidogo...
Hahah!!
Aiseeeeee kweli kabisaaaaaHatariiiiiiii
Unaeza anza kuhisi upweke humu kama huna muntu yako [emoji23]
Hakika hilo ni jambo la kumshukuru Mungu bro na ukitahidi kumtunza sana...Hujui kila siku namshukuru Mungu kwa ajili ya huyu shemeji yako. Ney ni kwangu ni baraka tosha yaan.
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Demiss
Jolie
Hazard
Mumu
Mwifwa
Mr miller
Davet
Sakayo
Ukhuty
Uwiiii lazima tuwe matajiri
HahahaWifi anajua kuishi na ndugu wa mume
Sijui ni wifi sijui ni mke mwenzangu
mzee baba umenikalia kooni "" mimi ni pastor mkuu"Ndio harakisha sasa kuleta meli bandarini tuione!..
Kama wewe ile siku eeehInawezekana kazimia huko alipo embu kamtafuteni
Walikupa taaarifa lakin dadaHongereni sana...kila lenye kheri kwenye safari yenu mliyoanza
ShukraniKweli na mimi nilijua anatania ila the ship is sailing
Give Mwifwa a maaap!
Itakua mdogo wangu,mi dada akoSina neno dia wewe chagua tuu