Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Nikupe siriiiiiii?Hahaha
Hatakosa jibu huyoo na saivi yuko sayari ya maloveee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikupe siriiiiiii?Hahaha
Hatakosa jibu huyoo na saivi yuko sayari ya maloveee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au Mwifwa kaibiwa simu yake?
Wewe tenaaa mguu njecheka tu
PoleYaani nimemhamu balaa
Mh!Nasubiria ya kwakooo
Ooh shem huyooooo!!..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
Jamani mkinionea mbalizi1 mwambieni namtafuta saaaana
EwaaaaaOohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mm namiangalia tu
Mshtuko wa hili tukio aisee mana hatukutegemeamstuko wa nini tena jaman
Hapana...naona ni bonge la surprise[emoji3] [emoji3]Walikupa taaarifa lakin dada
lazima tukupe mwaliko loveUkialikwa uniite na mimi
WoooyooooOohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
Ahahahaaaaaa kanichekesha sana ujueHahaha
Anajitoa ufahamu
Ewaaaaah afadhali kwa kweli watu wakihamia Dodoma mahabaaaaaa motooooooooHatimae mahaba yazaliwa Dodoma sio Tanga tena
anawivu huyo nimeshamzoea[emoji23] kwani haruhusiw kupenda nyie bana