[emoji23][emoji23][emoji23] ndio shemu wangu nilikua bubu ghafla nikakosa la kusemaKama wewe ile siku eeeh
NdiwoooNikupe siriiiiiii?
acha maneno basi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Anaruhusiwa nae ni binadamu ila aisee!!
Katisha sana
Uje class sasa mvua zimepunguanieleweshe mwalimu...mm ni slow lena unajuaa
MmmhPole
Nimeifungaaaaaa na tunguliiiiiii[emoji98] [emoji98] [emoji98] [emoji98]Ntatembelea nyota yako
Utakapomuona mfikishie salamu zanguAaah
carbamazepine sjui yuko wap bro shughuli ya leo ilipaswa aione
[emoji23][emoji23]...Hahah jf raha sana[emoji3]
Emu akuwe tu mke mwenzang,kiswahil ni kigum walahiHahaha
Kwa kweli kuhusu ndugu zangu Ney sina lawama naye woote wanampenda
Jina lolote lina wafaa, ila nadhani ni mke mwenzio
Si mke wa shemejiyo eeh! Aah waswahili watatusaidia.
Khaa!!!wala sikaziimzee baba umenikalia kooni "" mimi ni pastor mkuu"
Huko siingiagi jamaniiMuangalie kwenye jukwaa la wakubwa akizuka kule basi concentration yake kule huwa si ya kawaida🙂🙂
Kwa Humble African sjui steemit ku download madorali kwa kupigaaa umbeyaaaaWapi hukooo
Baby alisafiri kidogo, nikawa busy na familiaNaendelea vizuri kabisa...nimefurahi pia,
Ulipotelea wapi?
hahaaa wifi umeanza tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
Kama mie ujue, hadi nikakumbuka lile blanketi rafiki kumbe halikuwa la maandishi kumbe la ukweli banaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana kazimia huko alipo embu kamtafuteni
Aiseeeeehahaha [emoji23][emoji23][emoji23]