Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Shem umempa nin kijana?Hahahaa mambo ni motoooo
Nini sasaHahaha
wifi uzidi kutukumbuka katika maombi yakoHahaaaa. Ya moyoni yale rafiki.
Si unajua mahaba yakikolea kila neno linatamkwa. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa usijari ndugu huyu shemu wangu namuheshimu sana siwezi kuleta janja janja....[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Uwe makini hii ina ushemeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo ni katibu wa wahenga mdogo wanguSawa tutamwambia
Ana cheo gani huyu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23]
nmekua tu speechlesskwann?
Tuwapeleke Morena tukaleee [emoji487] PizzaaHapana...naona ni bonge la surprise[emoji3] [emoji3]
Huko siingiagi jamanii
Ukimuona huko naomba umpe salamu zangu
soon tunaunda kamati[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwifwa hatanii aisee...
Nina salamu zako kutoka kwa ledada anakutakia kila lakheri katika safari yako ya mapenzi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usijali kabisaaa, kwa maombi tuu hapa ndo penyeweAhsante dada angu,utukumbuke katika maombi yako
tutakutana usiku wa maneno niongee na mwifwa vzr sahv naona yuko tightUnaendaaaa wapiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu sasa uchonganishi
Sio kila homa ni maraliaKumbe zama zimebadirika hivi
shukrani mkuuNaona mambo ni motooooooo
Haya hongereni wenye mahuba yenu
jamani kipenzi changu ntakucheki onlineWewe nimekuchukia ujue, subiri surprise